Kanisa la Ack Kikuyu lawahusisha vijana katika michuano ili kukomesha ulevi

  • | Citizen TV
    128 views

    Huku vita dhidi ya pombe haramu na matumizi ya mihadarati ikiendelezwa katika kaunti ya Kiambu, makanisa pia yamejitosa ndani ya kampeni hizo kuwasaidia baadhi ya vijana kuasi ulevi. Viongozi hawa wakizindua michuano ya soka kama njia moja ya kukabiliana na ongezeko la ulevi.