Wizara ya Leba yawasajili watu milioni 1.2 zaidi katika mpango wa Inua Jamii

  • | Citizen TV
    156 views

    Wizara ya Leba imesema kuwa imejiandaa kuwasajali zaidi ya watu milioni 1.2 kuanzia mwezi ujao watakaofaidika na mpango wa inua jamii ambao kwa sasa unawafikia wazee, walemavu na mayatima milioni 1.2 kote nchini.