Chama cha Wamiliki wa Matatu chaeleza wasiwasi kuhusu usalama wa matatu

  • | Citizen TV
    362 views

    Chama cha wamiliki wa matatu nchini kinaitaka serikali kuanzisha uchunguzi wa kuwanasa wahalifu wanaouza vileo katika vituo vya mabasi. Maafisa wa chama hicho wanasema vileo vimechochea kutokuwa na mpangilio katika vituo hivyo pamoja na ongezeko la ajali za barabara.