Wadau wa michezo wahamasisha vijana kuhusu talanta katika kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    84 views

    Washika dau Katika idara ya Michezo kaunti ya Kajiado wameendeleza mchakato wa kutafuta na kukuza talanta mashinani miongoni mwa vijana kupitia awamu ya tatu ya mpango wa Talanta Hela.