Alice Mutinda ajishindia shilingi laki tano katika mchezo wa Shabiki Kaende Jackpot

  • | Citizen TV
    129 views

    Alice Mutinda mwenye miaka ishirini na minne kutoka kaunti ya Embu ndiye mshindi wa shiilingi laki tano wa Shabiki Kaende Jackpot wiki hii.