Wasiwasi wagubika vijiji vya eneo la Borabu baada ya mabwawa ya maji kukauka

  • | Citizen TV
    214 views

    Wasiwasi umegubika vijiji vya Borabu katika eneo bunge la Nyamira kufuatia dalili za mabwawa kuanza kukauka maeneo hayo.