Vijana 666 katika mpango wa wings to fly wajumuika katika shule ya vijana ya Machakos

  • | Citizen TV
    199 views

    Kongamano la 14 kwa wanafunzi wanaofadhiliwa na mpango wa Benki ya Equity wa Wings to Fly limekamilika katika shule ya vijana ya Machakos.