Timu ya wasichana ya Noga waibuka washindi katika mchuano wa Sterling

  • | Citizen TV
    209 views

    Timu ya wasichana ya Noga wameibuka mabingwa wa mchuano wa mpira wa vikapu wa Sterling mwaka huu baada ya kuwazidi Equity Hawks kwa vikapu 63 kwa 48.