Mradi wa unyunyizaji maji mashambani wazinduliwa katika kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    213 views

    Wafugaji katika kaunti ya Samburu wametakiwa kukumbatia kilimo Cha unyunyuziaji maji mashamba kama mbinu mbadala ya kujikimu kimaisha. Haya yamejiri katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa maji uliofadhiliwa na serikali kuu,ile ya Kaunti na hazina ya water trust katika eneo la Garma Mugur Samburu magharibi.