Wakazi wataka serikali kusaidia kufanikisha Utalii katika kaunti ya Pokot

  • | Citizen TV
    160 views

    Wakazi wa kijiji cha Chorwai eneo bunge la Pokot Kusini, wanaitaka serikali kusaidia kufanikisha kuwepo kwa kivutio cha watalii katika eneo hilo. Wakaazi wanaamini kuwa mlima wa kipteber ulioko katika eneo hilo ulianguka kutoka angani na kuwauwa watu waliokuwa katika sherehe miaka 600 iliyopita na sasa wanataka historia hiyo kuwafikia watu wengi.