Wakaazi wa eneo la Nakukulas wajumuika kwa hafla ya Tamaduni ya Waturkana

  • | Citizen TV
    188 views

    Wakaazi wa enel la Nakukulas, Turkana Mashariki wamepata fursa ya kipekee kujifunza mila na tamaduni zao kufahamu maisha ya jadi ya jamii hii. Wazee walipata fursa kuzungumzia historia ya mambo yalivyoendeshwa na jamii hii.