Mswada wa mbunge wa Homabay wa adhabu kwa mafisadi kuondolewa wapingwa

  • | Citizen TV
    367 views

    Mswada wa Mbunge wa Homabay mjini Peter Kaluma unaopendekeza kuondolewa Katika sheria kipengee kinachowazuia wafanyikazi wa umma kuajiriwa baada ya kupatikana na hatia ya ufisadi, unazidi kupata pingamizi. Tume ya EACC, Chama cha wanasheria nchini LSK na afisi ya mwanasheria mkuu ni miongoni wadau wanaotaka mswada huo kutupiliwa mbali kwani, wakisema unahujumu vita dhidi ya ufisadi