Taharuki yatanda Lamu kufuatia shambulio la Al- Shabab

  • | Citizen TV
    5,485 views

    Hali ya taharuki imetanda katika kaunti ya Lamu baada ya magaidi wa Al-shabaab kuwaua watu wawili katika eneo la Lango la Simba baada ya kuteketeza nyumba tisa na kuiba mifugo na vyakula katika kijiji cha salama. Kisa cha hivi punde kilisababisha zaidi ya familia 20 kuachwa bila makao

    shabaab