Vijana walalamikia kutokamilishwa kwa studio ya kuimarisha talanta katika eneo la Voi

  • | Citizen TV
    244 views

    Licha ya kufunguliwa kwa Studio ya kisasa eneo la Kaloleni mjini Voi miaka miwili iliyopita serikali ya kaunti ilikuwa imelenga kuweza kusaidi wasanii ndani ya kaunti hio kuweza kujiendeleza kimziki na kisanaa , ila wengi wa wasanii sasa wamezidi kutoa lalama kuwa studio hio haijaanza oparesheni zake kwani haijakamilishwa kikamilifu huku sasa wakitaka serikali iliyopo mamlakini na viongozi wa eneo hilo kukamilisha mradi huo kwa manufaa ya vipaji vya wasanii kaunti ya TaitaTaveta.