Zaidi ya wanafunzi 300 wa wasichana wahamasishwa kuhusu thamani yao katika kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    240 views

    Zaidi ya wanafunzi 300 kutoka sehemu mbalimbali Kajiado kusini wamenufaika na mafunzo kuhusu thamani ya o katika jamii. wasichana hao pia Na walipata fursa ya kuonyesha vipaji vyao.Wadau mbali mbali wameirai jamii ya wafugaji kupigana Na Mila potovu za ukeketaji Na ndoa kwa watoto.