- 1,039 viewsDuration: 2:50Moja wapo wa sekta za kilimo zilizoshuhudia mabadiliko ni ile ya sukari ambapo sasa wakulima wa sukari wanatazamiwa kufaidi kutokana na mfumo tofauti wa malipo. Wakulima hawa sasa wakifanyiwa malipo kuambatana na kiwango cha sukari badala ya kilo. Kwa mujibu wa halmashauri ya kilimo nchini, mfumo huu mpya utasaidia kuimarisha zaidi mapato ya wakulima huku mabadiliko zaidi yakiendelea katika sekta ya sukari.