Gavana Natembeya apinga kugawanywa kwa kaunti ya Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    1,213 views

    Gavana wa Trans-Nzoia George Natembeya amepuuzilia mbali mjadala wa kuigawa kaunti ya Trans-Nzoia kuwa mbili akisema kuwa huenda mjadala huo ukavutia mazungumzo ya ukabila na kutia doa utangamano baina ya jamii zinazoishi katika kaunti hiyo.