Mali ya thamani isiyojulikana yateketea katika eneo la Ng’iya kutokana na hitilafu ya umeme

  • | Citizen TV
    240 views

    Mali ya thamani isiyojulikana imeteketea kwenye moto eneo la Ng’iya baada ya kile kinaaminika kuwa hitilafu ya nguvu za umeme kusababisha moto katika mkahawa moja ambayo imeshikana na eneo la kuonesha video na mpira.