Utoaji chanjo ya kichocho na minyoo wafanyika katika kaunti ya Siaya

  • | Citizen TV
    90 views

    Shughuli ya kusambaza dawa za kukabili kichocho na minyoo katika ukanda wa Nyanza na kaunti kadhaa za magharibi ya Kenya kuanza rasmi leo hii Alhamisi baada ya katibu katika wizara ya Afya Mary Muthoni, kuzindua shughuli hapo jana katika kaunti ya Siaya.