Chama cha KNUT chatishia kutosahihisha mitihani ya kitaifa mwaka huu iwapo KNEC haitawalipa walimu

  • | Citizen TV
    241 views

    Chama Cha kutetea walimu humu nchini KNUT kimetishia kuwa walimu watasusia kusahisha mtihani wa kitaifa mwaka huu iwapo Baraza la mtihani KNEC haitalipa pesa ambazo walimu wanadai Baraza hilo.Wakizungumza mjini Nandi hills walimu hao wakiongozwa na mwenyekiti wa kitaifa Patrick Munuhe, viongozi hao walisema kuwa walimu waliosahisha mtihani wa 2022 hawajalipwa hadi Sasa.Walimu hao wameipa Serikali ilani ya wiki mbili. Wanaozungumza