Zaidi ya wakulima elfu mbili kutoka kaunti ya Kisii wahamasishwa kuhusu maswala ya kilimo

  • | Citizen TV
    140 views

    Zaidi ya wakulima 2,000 kutoka maeneo bunge tisa kaunti ya Kisii wanahudhuria kongamano la kuwaelimisha kuhusu maswala ya kilimo. Hayo yanajiri wakati serikali ya kaunti ikishikilia umuhimu wa wakulima kupewa mafunzo zaidi ili kuinua sekta hiyo.