Waziri wa Utalii Malonza aongoza wakenya kuzuru maktba kwenye meli katika kaunti ya Mombasa

  • | Citizen TV
    156 views

    Waziri wa Utalii Penina Malonza awaongoza wakenya kuzuru na kunununua vitabu kwenye maktba kubwa Zaidi kwenye meli ya kifahari iliyotia nanga katika bandari ya Mombasa. Meli hiyo LOGOS HOPE ilifunguwa milango yake rasmi jana jioni kwa umma na kuwapatia fursa wakenya kujionea Zaidi ya vitabu alfu tano vienye anuani mbali mbali na maudhui tofauti.