Wanafunzi waliofadhiliwa na benki ya Equity wahimizwa kudumisha nidhamu na matokeo bora shuleni

  • | Citizen TV
    108 views

    Wanafunzi 566 kutoka kaunti za Busia na Bungoma walionufaika na mpango wa ufadhili wa masomo chini ya mpango wa Elimu Scolarship na Wings to Fly kutoka benki ya Equity wamehimizwa kudumisha nidhamu na matokeo bora shuleni ili kuwawezesha kuendelea kupata ufadhili huo hadi watakapokamilisha masomo yao.