Magaidi wavamia kambi walikotafuta hifadhi ya muda wakaazi wa Salama na Juhudi katika kaunti ya Lamu

  • | Citizen TV
    324 views

    Wakazi wa vijiji vya Salama na Juhudi kaunti ya Lamu wanaishi kwa wasiwasi baada ya magaidi kushambulia kambi walikotafuta hifadhi ya muda. Magaidi hao walivamia shule hiyo jana usiku na kufyatua risasi kabla ya maafisa wa akiba na maafisa wa polisi kuwakabili.