Wafugaji wanufaika kwa teknolojia mpya ya kuwasaidia kuboresha mifugo wao

  • | Citizen TV
    251 views

    Watafiti humu nchini wamebuni teknolojia mpya, itakayowezesha wafugaji kuboresha kiwango cha mifugo wao. Teknolojia hii ya lishe kwa kondoo itapunguza muda wa kukuwa kwa mifugo hao na kuongeza mapato kwa wafugaji. Mengi ni katika makala ya wiki hii ya Kilimo Biashara na Denis Otieno