Polisi wateta kuhusu nyongeza ya mishahara yao

  • | Citizen TV
    2,551 views

    Polisi wanateta kuhusu nyongeza ndogo ya mishahara yao wakilalamika kuwa tayari sasa wameanza kulipa NSSF na pensheni ambazo ni zaidi ya nyongeza hiyo. Hapo jana maafisa wa polisi waliongezewa kati ya shilingi 1,000 na 11,000.