Wazee kutoka jamii mbalimbali wakutana kujadiliana kuhusu amani katika eneo la Bonde la Ufa

  • | Citizen TV
    200 views

    Wafugaji na maafisa wa serikali kutoka kaunti za West Pokot, Turkana, Elgeyo Marakwet na Baringo, ili kujadili maswala yanayochangia utovu wa usalama na wizi wa mifugo katika Bonde la Kerio. Migogoro mara nyingi husababishwa na kung'ang'ania malisho ya mifugo wao na wizi wa mifugo.