Wataalam wakongamana Lilongwe nchini Malawi kuhusu mabadiliko ya tabianchi

  • | Citizen TV
    60 views

    WASHIKADAU WA SEKTA YA AFYA NA MABADILIKO TABIANCHI KUTOKA MATAIFA YA AFRIKA WANAKONGAMANA LILONGWE,MALAWI KUTAFUTA MWAFAKA WA UDHIBITI WA ATHARI ZINAZOTOKANA NA MABADILIKO TABIANCHI