Jaji Mkuu Martha Koome azindua mfumo kidijitali mahakamani katika kaunti ya Mandera

  • | Citizen TV
    680 views

    Jaji mkuu Martha Koome ameanzisha rasmi mfumo wa kuhifadhi faili za mahakama kwa njia ya kidijitali pamoja na afisi ndogo ya usajili wa kesi katika mahakama kuu ya Mandera.