Vijana walalamikia kutolipwa na kampuni ya kutafuta kazi Ughaibuni ya First Choice

  • | Citizen TV
    437 views

    Vijana waliokuwa wakitafuta ajira ughaibuni kupitia kampuni ya first choice wanaendelea kushinikiza kampuni hiyo kuwarejeshea fedha zao.Vijana hao kutoka kaunti ya Nandi wamejitokeza kusema kuwa bado hawajapokea fedha zao licha ya kampuni hiyo kutangaza rasmi kuwa wamewalipa vijana 427. Mkurugenzi wa kampuni hiyo Judy Jepchirchir ameshikilia kuwa wote ambao walituma ombi la kurejeshewa fedha zao tayari wamepokea fedha hizo.