Zaidi ya wahudumu 8,000 wa Afya walioajiriwa chini ya UHC waomba kazi

  • | Citizen TV
    108 views

    WASAIDIZI WA WAHUDUMU WA AFYA WALIO CHINI YA MPANGO WA AFYA BORA KWA WOTE -UHC- KATIKA KAUNTI YA BUSIA WAMEMTAKA WAZIRI WA AFYA SUSAN NAKHUMICHA KUINGILIA KATI ILI KUWASAIDIA KUPATA BARUA ZAO ZA KUAJIRIWA UPYA.