Malkia Strikers wafuzu katika fainali voliboli nchini Cameroon

  • | Citizen TV
    455 views

    MALKIA STRIKERS WALITOKA NYUMA SETI MOJA NA KUWALAZA WENYEJI CAMEROON SETI 3-1 NA KUTINGA FAINALI YA MCHUANO WA KOMBE LA AFRIKA UNAOENDELEA YAOUNDE, NCHINI CAMEROON.