Watoto walio na umri wa chini ya miaka mitano katika kaunti ya Garissa wapokea chanjo ya polio

  • | Citizen TV
    351 views

    Watoto walio na umri wa chini ya miaka mitano katika kaunti ya Garissa wamepokea chanjo ya polio hii leo. garissa ni mojawapo ya kaunti nne zilizo kwenye hatari ya maambukizi.