Washika dau wa Utalii wazungumzia tukio la ubaguzi katika hoteli ya Peponi katika kaunti ya Lamu

  • | Citizen TV
    1,162 views

    Washika dau katika sekta ya utalii wamepaza sauti zao kutokana na tukio lililofanyika katika hoteli ya Peponi, ambapo mteja mmoja anayejulikana kama Tina kwenye mtandao alidai kufanyiwa ubaguzi na mmiliki wa hoteli hiyo baada ya switafahamu kuibuka kati yao siku chache zilizopita.