Chansela wa Chuo Kikuu cha Machakos James Mworia awahimiza wanaohitimu kuzitafutia riziki

  • | Citizen TV
    271 views

    Chansela wa chuo kikuu cha Machakos James Mworia amewataka wanaohitimu kutoka chuo kikuu kuwa na njia mbadala ya kupata mapato akieleza kwamba idadi kuwa ya wanafunzi wanahitimu ilhali hakuna nafasi za ajira.