Mashindano ya Talanta hela ukanda wa pwani yaanza kaunti ya Mombasa

  • | Citizen TV
    116 views

    Siku mbili baada ya Waziri Ababu Namwamba kufika mbele ya kamati ya bunge na kuhojiwa kuhusu utendakazi wake ,mashindano ya Talanta hela ukanda wa pwani yameanza kaunti ya Mombasa