Waziri Ezekiel Machogu atoa hakikisho kuhusu elimu ya juu

  • | Citizen TV
    263 views

    Wizara ya elimu imetoa hakikisho kuwa hakuna mwanafunzi aliyesajiliwa kujiunga na chuo kikuu au chuo anuai atakayekosa kuripoti shule kutokana na hitilafu ya mtandao wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu ya Helb. Hakikisho hili limetolewa na waziri Ezekiel Machofu, huku foleni ndefu za wanafunzi zikiendelea kushuhudiwa kwenye ofisi za bodi ya Helb.