Waathiriwa wa bomu wa mwaka 1998 wataka serikali kugharamia matibabu

  • | Citizen TV
    176 views

    Waziri wa afya Susan Nakhumicha anasema kuwa amewasilisha mswada bungeni ili kufanikisha kuundwa kwa hazina ya matibabu ili waathiriwa wa mlipuko wa bomu wa mwaka 1998 katika ubalozi wa marekani waweze kushughulikiwa. waathiriwa hao walimtaka waziri Nakhumicha kuahidi kuwa serikali itagharamia matibabu yao kwani mzigo huo umewalemea. Waathiriwa wameelezea masaibu yao katika kikao cha kamati maalum kuhusu fidia kwa waathiriwa hao.