Rais william Ruto awataka wakazi wa Kisii kuasi maandamano ya kushinikiza kushuka kwa bei ya bidhaa

  • | Citizen TV
    1,798 views

    Rais william Ruto amewataka wakazi wa kaunti ya Kisii kuasi maandamano ya kushinikiza kushuka kwa bei ya bidhaa na badala yake washirikiane na serikali kufanikisha miradi ya maendeleo. Akitoa ahadi kochokocho kwa wakazi hao ikiwemo ujenzi wa barabara, miradi ya maji na masoko, rais Ruto amesema kuwa serikali yake itahakikisha wafisadi wamekabiliwa kwa mujibu wa sheria.