Jaji Mkuu Martha Koome azindua usajili wa kidijitali mahakama Kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    659 views

    Jaji Mkuu Martha Koome, amewataka wananchi kushabikia mfumo wa kidijitali wa kuwasilisha kesi mahakamani na mbinu mbadala za kutatua kesi kama vile kuwahusisha wazee kutatua kesi ndogo. Koome anasema hatua hiyo itapunguza mrundiko wa kesi mahakamani na kuleta uwiano katika jamii.Jaji Mkuu Martha Koome ameyasema hayo katika uzinduzi wa mfumo wa kidijitali katika mahakama ya Maralal Kaunti ya Samburu.