Kaunti ya Homabay hupoteza zaidi ya milioni mia tatu kila mwaka kwa kulipa wafanyikazi gushi

  • | Citizen TV
    380 views

    Kaunti ya homabay imekuwa ikipoteza zaidi ya shilingi milioni Mia tatu kwa kulipa wafanyikazi ghushi kila mwaka.Hii nikulingana na ripoti iliyotolewa na shirika la price Waterhouse coopers.