Kikosi cha Madaktari chaleta huduma ya afya katika hospitali ya rufaa ya Lodwar

  • | Citizen TV
    220 views

    Kikosi cha Madaktari wa upasuaji wataalamu wa pua sikio na koo kutoka hospitali ya rufaa na mafunzo ya Moi Eldoret wameleta huduma ya afya katika hospitali ya rufaa ya Lodwar,ili kushuhughulikia na kutiba wagonjwa ambao mara nyingi hutumwa Eldoret kutafuta huduma hiyo ya upasuaji.