Mawaziri kumi watia saini mkataba wa utendakazi kwa kipindi cha mwaka mmoja ujao.

  • | Citizen TV
    559 views

    Mawaziri kumi wa kaunti ya Kwale, katibu na mwanasheria wa kaunti hiyo wametia saini mkataba wa utendakazi kwa kipindi cha mwaka mmoja ujao.