Wizara ya Afya yasambaza dawa zenye thamani ya shilingi Milioni 30 katika kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    325 views

    Wizara ya Afya kaunti ya Kajiado imesambaza dawa zenye thamani ya shilingi Milioni 30 katika vituo mbali mbali vya Afya kaunti hiyo.Usambazaji huo wa dawa unatarajiwa kutatua changamoto za uhaba wa dawa na kusaidia kupiga jeki huduma za matibabu katika hospitali za Kajiado.