MCK yafanya kikao na wanahabari kuhusu changamoto zao kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    115 views

    Baraza la wanahabari nchini MCK limeandaa kikao na wanahabari katika kaunti ya Samburu kuzungumzia changamoto zinazowakumba wanahabari katika Kaunti hiyo.