Kamati ya mazungumzo yapuuza matamshi ya Gachagua

  • | Citizen TV
    3,182 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua ametofautiana vikali na kinara wa Azimio Raila Odinga kwenye mazishi ya aliyekuwa shujaa wa Mau Mau John Njigoya Kagwe. Naibu rais alimuonya Odinga dhidi ya kuandaa maandamano dhidi ya serikali huku odinga akishikilia kuwa upinzania utaandaa maandamano iwapo mazungumzo hayatasababisha gharama ya maisha kushuka.