Machogu aagiza wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza katika vyuo vikuu wasajiliwe

  • | Citizen TV
    571 views

    Waziri wa elimu Ezekiel Machogu ameagiza vyuo vikuu na vya anwai kuwasajili wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliofanya mtihani wa kcse mwaka 2022 huku wakisubiri ufadhili na mikopo ya serikali. Kwenye waraka katika vyuo vikuu vyote vya humu nchini, machogu amesema kuwa wanafunzi wangali wanatuma maombi ya kutafuta ufadhili wa masomo kutoka kwa serikali na mikopo ya helb na hivyo kuwataka wasimamizi wa vyuo hivyo kuwasajili wanafunzi wanaosubiri fedha hizo.