Huduma za afya katika kaunti ya Busia zaimarishwa

  • | Citizen TV
    230 views

    Huduma za afya katika kaunti ya Busia zimepigwa jeki baada ya hospitali ya rufaa eneo hilo kupokea vifaa zaidi vya matibabu. Baadhi ya maeneo yaliyoimarishwa ni ufunguzi wa wodi ya upasuaji yenye vitanda 96 iliyogharimu shilingi milioni mia moja.