Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Lamu wakashifu hatua ya kukatazwa kukarabati msikiti

  • | Citizen TV
    277 views
    Duration: 3:04
    Wakazi katika Kisiwa cha Amu kaunti ya Lamu wamekashifu kitendo cha kukatazwa kuujenga upya msikiti wa Anisa ambao ulijengwa zaidi ya miaka 200 na makavazi ya Lamu. Inaarifiwa kuwa msikiti huo uko ndani ya majengo na sehemu iliyohifadhiwa na UNESCO kama turathi za kimataifa na hivyo haupaswi kukarabatiwa.