Haflya ya kufunguliwa rasmi kwa shule ya umma ya ACK St. Joseph Riabai

  • | K24 Video
    60 views

    Furaha na bashasha imeshuhudiwa katika shule ya upili ya ACK St Joseph Riabai, kwenye hafla ya kufunguliwa rasmi kwa shule hiyo ya umma. Ufadhili wa shule hiyo ukifanikishwa chini ya hazina ya maeneo bunge NG-CD, katika jitihada za kuhakikisha kuna asilimia mia 100% ya wanafunzi wanaojiunga na masomo ya sekodari pindi tu wanapokamilisha masomo ya msingi.